Tunaodaiwa na tala tuwalipe haraka iwezekanavyo

Naona mmehamia JF kuja kukusanya KODI zenu. Hizi bando za jero mnazowekewa kule LUMUMBA kuja kutukera/kututisha/kukusanya kodi humu JF, ni mtihani kweli.

Wewe badala ya kujiunga BANDO kila siku si ugekusanya hizo hela ukawalipa hao TALA.
 
sisi ndio waswahili, bongo mjini daslam lazima wafunge na wasitishe huduma kwa hasara!

tukope kwa sana bila kulipa hapo ndio akili zitawajia kwani hawana kwa kutupeleka
 
Hawa Tala ni wapuuzi sana.....yaani nimekomea kwenye 260,000 tu. Kila nikikopa tena napata hiyo hiyo ila kila ninaporejesha interest inapanda... Sasa hivi natakiwa kulipa 315000 na huku nimekopeshwa 260,000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Wanakupiga na wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] saiv hatuwalipi HADI WAFILISIKE [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
😂😂😂😂warudi kwao kiambu...
 
Back
Top Bottom