Tunaoenda AFCON Egypt tufahamiane

Tunaoenda AFCON Egypt tufahamiane

LIKUD

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2012
Posts
18,037
Reaction score
33,681
Mimi binafsi nitaenda. What about you chiefs?

Wabongo mnaoishi Egypt tupeni Abc za maisha ya huko. Like gharama za malazi chakula na totoz
 
Mi nitatua mechi ya kwanza ya WAZALENDO STARS nauli nimeona ET ni nafuu kuliko Egypt Air
 
Mimi binafsi nitaenda. What about you chiefs?

Wabongo mnaoishi Egypt tupeni Abc za maisha ya huko. Like gharama za malazi chakula na totoz
Ushafanya booking ya tiketi? Au ulikuwa unatoa tangazo kuhamasisha wengine.
 
Mimi binafsi nitaenda. What about you chiefs?

Wabongo mnaoishi Egypt tupeni Abc za maisha ya huko. Like gharama za malazi chakula na totoz
Karibuni sana Egypt
Gharama za maisha inategemea na uwezo wako mwenyewe
Kuna hostel hadi za dolla 15 kwa siku,
Hotel nyingi zinacheza dolla 50 kwenda juu kwa usiku mmoja
Vyakula vipo bei ya kawaida sana hakuna tofauti kubwa na Tz
Watoto huo mtihani sana ingawa wanapatikana kwa bei tofauti wapo hadi qa dolla 30
 
Kule ni sawa na msikitini, kama unaenda na mawazo ya totoz, usiseme haukuambiwa.

Hakuna kitu, nimeenda doha mimi baibui sana ila club totozi hazina nguo wala kitu.
 
Back
Top Bottom