Pure_sapiens
JF-Expert Member
- Dec 25, 2016
- 2,228
- 2,064
Mkuu mi ndo naoga hapa nijiandae kwenda jobNashukuru Mungu kwa kuniamsha salama kabisa.Nimeamka mda huu najianda kwa ajili ya tizi kama wewe mpenda kuweka mwili vizuri basi acha shuka twenzetu.
maandalizi-nachukuwa raba,lambda,track, n.k
Nakushauri amka tupige tizi
great thinker
Daah ongera lakini tizi kidogo umepigaMkuu mi ndo naoga hapa nijiandae kwenda job
Kibongo bongo kuamka mapema tu bila ridhaa ya mwili wako ni tizi ngoja nikatafute chambi kihalali.Daah ongera lakini tizi kidogo umepiga
great thinker
Ni kweli lakini nakushauri piga hata push-up kadhaa ndo uoge vuzuri.Mi hutokea siku nimechelewa kuamka so navuta push-up kama100 alafu naogaKibongo bongo kuamka mapema tu bila ridhaa ya mwili wako ni tizi ngoja nikatafute chambi kihalali.
Is true mwendokasi umetusaidia sana so hata muda wa tizi unapatikanaNajua kwa Dar job wengine toka ngoma Tisa SAA hizo wamelala kwenye daladala wanaelekea job. Shukrani kwa mwendo kasi
Mkuu mi ndo naoga hapa nijiandae kwenda job
Push up 100 kwa mpigo ama???Ni kweli lakini nakushauri piga hata push-up kadhaa ndo uoge vuzuri.Mi hutokea siku nimechelewa kuamka so navuta push-up kama100 alafu naoga
great thinker
Nashukuru Mungu kwa kuniamsha salama kabisa.Nimeamka mda huu najianda kwa ajili ya tizi kama wewe mpenda kuweka mwili vizuri basi acha shuka twenzetu.
maandalizi-nachukuwa raba,lambda,track, n.k
Nakushauri amka tupige tizi
great thinker