Sasa alishindwa kuelewa nini huyo jamaa? hahaha, na kukurekebisha, si napenda bali nilikuwa nakunywa ila nashukuru kabla hata ya kwaresma nilishapiga hatua nzuri tu kuelekea kuacha au kupunguza kwa kiasi kikubwa na kwaresma hii itakuwa ni kukazia tu msimamo.