ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Kuna kitu hakiko sawa sijui niseme katika atmosphere maana hali ya hewa imekuwa nzito nzito sio Kama zamani.najua tuko wengi ambao kupumua kwetu kwa sasa Ni kwa shida.nahisi hata Kama sio korona Basi kuna mabadiliko makubwa Sana yametokea hivi karibuni kwenye anga hali hii ya hewa tulio nayo Sasa hv sio Kama ya miaka mi5 nyuma.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app