Tunaohisi kubanwa na kifua tukutane Hapa

Tunaohisi kubanwa na kifua tukutane Hapa

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
21,643
Reaction score
51,642
Kuna kitu hakiko sawa sijui niseme katika atmosphere maana hali ya hewa imekuwa nzito nzito sio Kama zamani.najua tuko wengi ambao kupumua kwetu kwa sasa Ni kwa shida.nahisi hata Kama sio korona Basi kuna mabadiliko makubwa Sana yametokea hivi karibuni kwenye anga hali hii ya hewa tulio nayo Sasa hv sio Kama ya miaka mi5 nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni janga ni la kitaifa na kimataifa....ni kwamba watu tunaishi kwa matumaini.....mimi kila nikihijihisi hali hiyo huwa natafuna tangawizi....mifuko imetuna tangawizi na midomo kila saa inacheza kama tunakula mirungi......huu mwaka huu kazi ipo.......
 
Hili ni janga na kitaifa na kimataifa....ni kwamba watu tunaishi kwa matumaini.....mimi kila nikihijihisi hali hiyo huwa natafuna tangawizi....mifuko imetuna tangawizi na midomo kila saa inacheza kama tunakula mirungi......huu mwaka huu kazi ipo.......
Hahahahahhaha umetisha sana
 
Back
Top Bottom