masulupwete na malapulapu
Senior Member
- Jul 27, 2019
- 149
- 290
Hakika mkuu!! Mungu ndo kila kitumasulupwete na malapulapu,
Cha msingi ni kupampana mwenyezi anatulinda.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika mkuu!! Mungu ndo kila kitumasulupwete na malapulapu,
Cha msingi ni kupampana mwenyezi anatulinda.
Aisee poleni sanaKazi za usiku changamoto Sana aise, mbu, usingizi, mvua, walozi, na vifaa !!
Nilipo huku daah tunapiga kazi at least group la watu 12 Hadi 22 Sasa mgawanyiko unapotokea hapo Ni kufata ishara na maelekezo tu Maana unaweza jikuta matatizoni !!
Mvua nayo tabu, afu Ni lazima uwe makini muda wowote chochote kinatokea, kosa moja linaweza gharimu maisha au ikawa kirema
[emoji2][emoji2]hiyo kawaida kabisa mi nilipewa gurd 18 hivi hivi kimasihar a na nikikuwa main getMimi mwenyewe nishaandikishwa kwa kukuta nimelala eneo la kazi.