A
Anonymous
Guest
Tunafanya kazi kampuni ya Kichina ipo Ilemela hapa Mwanza, tunajenga Soko Kirumba, kero yetu ni kuwa michango ya Hifadhi ya NSSF ni shida hatujawekewa tangu Septemba 2025.
Kazi ilianza tangu Mei 2025, kampuni inaitwa CR 15 ambayo kirefu chake ni CHINA RAILWAY BUREAU GROUP CORPORATION.
Kuna baadhi ya watu wameachishwa kazi lakini mchango yao ya NSSF bado hawajawekewa, tunajua kuwa siku tukiachishwa kazi au mradi ukiisha ndiyo itakuwa imekula kwetu kama tutakuwa hatujawekewa stahiki zetu.
Pia soma ~ RC Mtanda aagiza NSSF kufuatilia madai ya michango ya wafanyakazi wanaojenga Soko la Kirumba kutowasilishwa kwao
========================
Muonekano wa soko utakavyokuwa
Pia soma ~ RC Said Mtanda: Mkandarasi anayejenga Soko la Kirumba - CHINA RAILWAY GROUP ameanza kuingiza malipo ya NSSF ya Watumishi wake