msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
Kimsingi watumishi wa umma wengi tuliohamishiwa Dodoma tunaishi maisha ya ajabu sana, bado hatujakubali kwamba ngoma ndio ishatoka hiyo na kifupi ikirudi ni panchaaa!wengi wetu tumepanga chumba kimoja ndani kuna gororo tumeweka chini basi.
Wengi wetu muda wa kazi ukiisha tunazugazuga pale ofisini tunapita kwenye mchemsho then tunavizia vizia mizoga kama tutabahatisha siku hiyo ya kurudi nayo nyumbani then ikishindikana basi tunarudi kwa huzuni kwenye viota vyetu kujibwaga.
WATUMISHI HATUNA NAMNA TUKUBALI KWAMBA HAPA NDIO NYUMBANI KWA SASA HAKUNA NAMNA.