ChizzoDrama
JF-Expert Member
- Sep 29, 2019
- 1,317
- 1,229
Hayo maisha ni ya kujisifu kweli!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa...... Ni vizuri tunajumuika tena...
walimu wa primary schools nao mna mambo mengi?
Sipati picha makao makuu yangekuwa Arusha ,Moshi,Morogoro ,au Tanga na nyumba mjini mngeuza mngebaki huko huko dodoma doro sana basi tuKimsingi watumishi wa umma wengi tuliohamishiwa Dodoma tunaishi maisha ya ajabu sana, bado hatujakubali kwamba ngoma ndio ishatoka hiyo na kifupi ikirudi ni panchaaa!wengi wetu tumepanga chumba kimoja ndani kuna gororo tumeweka chini basi.
Wengi wetu muda wa kazi ukiisha tunazugazuga pale ofisini tunapita kwenye mchemsho then tunavizia vizia mizoga kama tutabahatisha siku hiyo ya kurudi nayo nyumbani then ikishindikana basi tunarudi kwa huzuni kwenye viota vyetu kujibwaga.
WATUMISHI HATUNA NAMNA TUKUBALI KWAMBA HAPA NDIO NYUMBANI KWA SASA HAKUNA NAMNA.
walimu wa primary schools nao mna mambo mengi?
Acha uongo Dodoma hakuna VVU wala Malaria ikiifuatia ZanzibarBaada ya miaka 7 watumishi wa umma wa Dodoma mjini 89℅ wataishi na VVU.
Wewe subiri.Acha uongo Dodoma hakuna VVU wala Malaria ikiifuatia Zanzibar
Vyumba, Nyumba tunawapatia ni nyingi sana wameridhika na muda wakurudi Dar kila week end wanapata nauli za Mabasi ni 15,000/ Dom Dar, bado magari yao na ya kiserikaliWewe subiri.
Life style ya Dodoma sasa hivi lazima wabadilishane VVU