msemakweli2
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 1,627
- 1,880
ndiyo anasema hapo bado akili zao hazijakubali kuwa Dodoma ndiyo makazi ya kudumuKwan umelazimishwa kukaa chumba kimoja......mshahara unapata....toka hapo katafute nyumba inayokutosha kijana
Sent using Jamii Forums mobile app
njoo inbox rafiki wa ukweli
njoo inbox rafiki wa ukweli
Hata mimi pia ni mtumish nalala chini nnaviziaga mizoga ,naomba niruhusiwe kushoboka inbox tafadhal
acha wivu weweHata mimi pia ni mtumish nalala chini nnaviziaga mizoga ,naomba niruhusiwe kushoboka inbox tafadhal
Wivu wakimaendeleo ni mzuri mkuu ,ukiona jamaa yako kafanikiwa na wewe ukaamua kutumia njia kama zake kufika alipo sio kosa kabisaacha wivu wewe
Vumilieni train ya umeme yajaKimsingi watumishi wa umma wengi tuliohamishiwa Dodoma tunaishi maisha ya ajabu sana, bado hatujakubali kwamba ngoma ndio ishatoka hiyo na kifupi ikirudi ni panchaaa!wengi wetu tumepanga chumba kimoja ndani kuna gororo tumeweka chini basi.
Wengi wetu muda wa kazi ukiisha tunazugazuga pale ofisini tunapita kwenye mchemsho then tunavizia vizia mizoga kama tutabahatisha siku hiyo ya kurudi nayo nyumbani then ikishindikana basi tunarudi kwa huzuni kwenye viota vyetu kujibwaga.
WATUMISHI HATUNA NAMNA TUKUBALI KWAMBA HAPA NDIO NYUMBANI KWA SASA HAKUNA NAMNA.
Mkuu ulipotea
Dodoma hakuna shida ya maji mkuu.Mnapata maji ya kuoga, maana nimeambiwa ni pakame sana hapo