Tunaokerwa na wake zetu kwenye matumizi ya vipodozi tukutane hapa

mdundo ngoma sana

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2016
Posts
1,002
Reaction score
955
Mke wangu jana katoa mpya.nahisi rafiki yake kamshauli vibaya usiku kajipaka parachichi usoni,halafu kwenye nywele kajipaka vitunguu swaum eti nasikia vinarefusha nywele hapo kitandani kajifunga rambo ya elfu moja.kila akigeuka utafikiri nyumba inaenzuliwa na upepo yaani kakarakakara.ukichangia na harufu ya kitunguu saumu najuta kumuoa..
 
9f13477eb0bdd6fd0ef0d6730fb3d441.jpg
 
Hahahahaha uwe unampa hela akatengenezwe saloon awekewe steaming nzuri akirudi nywele zinanukia fresh
 
Mke wangu jana katoa mpya.nahisi rafiki yake kamshauli vibaya usiku kajipaka parachichi usoni,halafu kwenye nywele kajipaka vitunguu swaum eti nasikia vinarefusha nywele hapo kitandani kajifunga rambo ya elfu moja.kila akigeuka utafikiri nyumba inaenzuliwa na upepo yaani kakarakakara.ukichangia na harufu ya kitunguu saumu najuta kumuoa..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntarudi mkuu ila nimecheka jmn
 
Daaaàah ipo siku atalala na chai kitandani[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka vile alivyoileta habari kwa karaha but wengi wanasema kutumia steaming natural ni vzr zaid kuliko zile za dukani!!!
Hahahahaha uwe unampa hela akatengenezwe saloon awekewe steaming nzuri akirudi nywele zinanukia fresh
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka vile alivyoileta habari kwa karaha but wengi wanasema kutumia steaming natural ni vzr zaid kuliko zile za dukani!!!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]agiza mirinda ntarudi kulipia[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
hiyo kweli orijino kwasababu hizo steaming za dukan zina kemiko nying na vitu ni hivyo hivyo alivyopakaa mkeo ulitakiwa umsimfie sio kumkandia mwenzio tena uwe una mkumbusha kila siku awe anapakaa angalau kwa wiki mara moja.Alafu vizuri zaidi uwe unampakaa wew huo usiku kwasbabu mwenyew hataweza kpaka vizuri
 
Siku hizi hakuna wanaume enzi zetu bwana mpaka raha[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mke wangu jana katoa mpya.nahisi rafiki yake kamshauli vibaya usiku kajipaka parachichi usoni,halafu kwenye nywele kajipaka vitunguu swaum eti nasikia vinarefusha nywele hapo kitandani kajifunga rambo ya elfu moja.kila akigeuka utafikiri nyumba inaenzuliwa na upepo yaani kakarakakara.ukichangia na harufu ya kitunguu saumu najuta kumuoa..

dah ndoa znamambo
 
Wenzie hupaka mchana na kuosha huyo mkeo naye mshamba urembo wa kujifunzia ukubwani huo pole yako ya miharufu ya vitunguu kwahiyo usiku mmekesha mnapika pilau [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimechekaaa. Mwache bwana ila mwambie awe anafanya mchana ili jioni awe fresh, asilale na hayo makitu.
 
Mke wangu jana katoa mpya.nahisi rafiki yake kamshauli vibaya usiku kajipaka parachichi usoni,halafu kwenye nywele kajipaka vitunguu swaum eti nasikia vinarefusha nywele hapo kitandani kajifunga rambo ya elfu moja.kila akigeuka utafikiri nyumba inaenzuliwa na upepo yaani kakarakakara.ukichangia na harufu ya kitunguu saumu najuta kumuoa..
Ha ha ha ha duniani kuna vituko sana aisee,
 
Mke wangu jana katoa mpya.nahisi rafiki yake kamshauli vibaya usiku kajipaka parachichi usoni,halafu kwenye nywele kajipaka vitunguu swaum eti nasikia vinarefusha nywele hapo kitandani kajifunga rambo ya elfu moja.kila akigeuka utafikiri nyumba inaenzuliwa na upepo yaani kakarakakara.ukichangia na harufu ya kitunguu saumu najuta kumuoa..

Hahahahahahaa, nimecheka mpaka machozi.. Sipati picha unavyomuangalia kwa hasira...!!!!
 
Mke wangu jana katoa mpya.nahisi rafiki yake kamshauli vibaya usiku kajipaka parachichi usoni,halafu kwenye nywele kajipaka vitunguu swaum eti nasikia vinarefusha nywele hapo kitandani kajifunga rambo ya elfu moja.kila akigeuka utafikiri nyumba inaenzuliwa na upepo yaani kakarakakara.ukichangia na harufu ya kitunguu saumu najuta kumuoa..
Mnunulie steamer hatakuwa na haja ya kulala na madude yote hayo saa moja tu kwenye steamer ni kitu na box
 
Back
Top Bottom