edwin george
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 1,218
- 981
Unachokiongea hata hukijuiSiku hizi hakuna wanaume enzi zetu bwana mpaka raha[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unachokiongea hata hukijuiSiku hizi hakuna wanaume enzi zetu bwana mpaka raha[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Unachokijua wewe ni kipi? Eti mwanaume unamkuta usiku kwenye banda la chips eti ndizi 2 na mishikaki 2 huyo eti mme wa mtu unategemea nini!Unachokiongea hata hukijui
Mke wangu jana katoa mpya.nahisi rafiki yake kamshauli vibaya usiku kajipaka parachichi usoni,halafu kwenye nywele kajipaka vitunguu swaum eti nasikia vinarefusha nywele hapo kitandani kajifunga rambo ya elfu moja.kila akigeuka utafikiri nyumba inaenzuliwa na upepo yaani kakarakakara.ukichangia na harufu ya kitunguu saumu najuta kumuoa..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wamechoka na chemicalKuwaelewa wanawake ni ngumu mkuu,anaweza akarudi na furushi la matunda ukajua leo mtapata juice safi kumbe mwenzio anawaza nywele zake tuu
unatoa hela ya matunda?Kuwaelewa wanawake ni ngumu mkuu,anaweza akarudi na furushi la matunda ukajua leo mtapata juice safi kumbe mwenzio anawaza nywele zake tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mke wangu jana katoa mpya.nahisi rafiki yake kamshauli vibaya usiku kajipaka parachichi usoni,halafu kwenye nywele kajipaka vitunguu swaum eti nasikia vinarefusha nywele hapo kitandani kajifunga rambo ya elfu moja.kila akigeuka utafikiri nyumba inaenzuliwa na upepo yaani kakarakakara.ukichangia na harufu ya kitunguu saumu najuta kumuoa..