mdundo ngoma sana
JF-Expert Member
- Jan 2, 2016
- 1,002
- 955
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntarudi mkuu ila nimecheka jmnMke wangu jana katoa mpya.nahisi rafiki yake kamshauli vibaya usiku kajipaka parachichi usoni,halafu kwenye nywele kajipaka vitunguu swaum eti nasikia vinarefusha nywele hapo kitandani kajifunga rambo ya elfu moja.kila akigeuka utafikiri nyumba inaenzuliwa na upepo yaani kakarakakara.ukichangia na harufu ya kitunguu saumu najuta kumuoa..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka vile alivyoileta habari kwa karaha but wengi wanasema kutumia steaming natural ni vzr zaid kuliko zile za dukani!!!Daaaàah ipo siku atalala na chai kitandani[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahaha uwe unampa hela akatengenezwe saloon awekewe steaming nzuri akirudi nywele zinanukia fresh
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]agiza mirinda ntarudi kulipia[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka vile alivyoileta habari kwa karaha but wengi wanasema kutumia steaming natural ni vzr zaid kuliko zile za dukani!!!
Mke wangu jana katoa mpya.nahisi rafiki yake kamshauli vibaya usiku kajipaka parachichi usoni,halafu kwenye nywele kajipaka vitunguu swaum eti nasikia vinarefusha nywele hapo kitandani kajifunga rambo ya elfu moja.kila akigeuka utafikiri nyumba inaenzuliwa na upepo yaani kakarakakara.ukichangia na harufu ya kitunguu saumu najuta kumuoa..
Wenzie hupaka mchana na kuosha huyo mkeo naye mshamba urembo wa kujifunzia ukubwani huo pole yako ya miharufu ya vitunguu kwahiyo usiku mmekesha mnapika pilau [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mke wangu jana katoa mpya.nahisi rafiki yake kamshauli vibaya usiku kajipaka parachichi usoni,halafu kwenye nywele kajipaka vitunguu swaum eti nasikia vinarefusha nywele hapo kitandani kajifunga rambo ya elfu moja.kila akigeuka utafikiri nyumba inaenzuliwa na upepo yaani kakarakakara.ukichangia na harufu ya kitunguu saumu najuta kumuoa..
Ha ha ha ha duniani kuna vituko sana aisee,Mke wangu jana katoa mpya.nahisi rafiki yake kamshauli vibaya usiku kajipaka parachichi usoni,halafu kwenye nywele kajipaka vitunguu swaum eti nasikia vinarefusha nywele hapo kitandani kajifunga rambo ya elfu moja.kila akigeuka utafikiri nyumba inaenzuliwa na upepo yaani kakarakakara.ukichangia na harufu ya kitunguu saumu najuta kumuoa..
Mke wangu jana katoa mpya.nahisi rafiki yake kamshauli vibaya usiku kajipaka parachichi usoni,halafu kwenye nywele kajipaka vitunguu swaum eti nasikia vinarefusha nywele hapo kitandani kajifunga rambo ya elfu moja.kila akigeuka utafikiri nyumba inaenzuliwa na upepo yaani kakarakakara.ukichangia na harufu ya kitunguu saumu najuta kumuoa..
Mnunulie steamer hatakuwa na haja ya kulala na madude yote hayo saa moja tu kwenye steamer ni kitu na boxMke wangu jana katoa mpya.nahisi rafiki yake kamshauli vibaya usiku kajipaka parachichi usoni,halafu kwenye nywele kajipaka vitunguu swaum eti nasikia vinarefusha nywele hapo kitandani kajifunga rambo ya elfu moja.kila akigeuka utafikiri nyumba inaenzuliwa na upepo yaani kakarakakara.ukichangia na harufu ya kitunguu saumu najuta kumuoa..