Tunaokerwa na wake zetu kwenye matumizi ya vipodozi tukutane hapa

Kuwaelewa wanawake ni ngumu mkuu,anaweza akarudi na furushi la matunda ukajua leo mtapata juice safi kumbe mwenzio anawaza nywele zake tuu
 
Kuwaelewa wanawake ni ngumu mkuu,anaweza akarudi na furushi la matunda ukajua leo mtapata juice safi kumbe mwenzio anawaza nywele zake tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watu wamechoka na chemical
 
Mimi ningemuaga nikalale lodge kwa week moja mpaka iyo harufu ya vitunguu iishe chumbani.

Kuna wale watumiaji wa cream harufu kali au cheap perfumes ni kero hata kwenye daladala.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…