Tunaokula bata awamu ya Rais Magufuli na Mafanikio tuliyoyapata

Ukute na wewe ulikuwa fisadi😁😁😁 natania
 
Waulizeni waliovunjiwa nyumba zao Morogoro Road.
Mkuu achana na hao,Jiangalie wewe binafsi,Watanzania wengi elimu bado hawaelewi washike lipi na waache lipi
 
Mgombea wetu wa CCM akiwa Zanzibar anawaeleza Wazanzibar kuwa wasiondoke uwanjani hapo maana akimaliza hotuba bado Kuna show kabambe kutoka kwa wasanii na watamuona nae akicheza.... Wazenji nao viburi wakaondoka wakati anazungumza. Aisee!
 
Amepita tena
 
Amepita tena
 
Mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…