cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu angalia mahaba yasizidi ufahamu wako...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu angalia mahaba yasizidi ufahamu wako...
Ukute na wewe ulikuwa fisadi😁😁😁 nataniaWanabodi,
Ni jambo lisilopingika watu ambao tunafurahi na kucheka kimaisha wakati wa JPM tupo wengi sana sana humu jamvini
Gharama za maisha zimeshuka sana. Leo hii kila kitu bei rahisi kuanzia chakula,Viwanja mpaka nyumba zinauzwa bei rahisi sana. Wakati wa Kikwete bei zilikuwa juu sana kutokana na mafisadi kushikilia uchumi hewa usio na mizizi
Gharama za kusomesha watoto zimeshuka sana. Leo shule binafsi unaweza kaa nao kuongea ada utalipa wakati gani na zimekuwa ni ada zinazoendana na vipato vya watu wengi sana. Mafisadi walijenga shule za academy uchwara kwa lengo la kuumiza wananchi wakati wa JK
Turudi kwenye kichwa cha uzi
Mimi binafsi nimebahatika kutembea nchi za nje zaidi ya 30 wakati huu wa JPM na hii imetokana na serikali kudhibiti mapato na kusimamia matumizi kwa miaka mitano. Kwa miaka kumi ya JK nilisafiri nchi 10 tu
Kipindi hiki cha JPM nimeweza kuwa na muda wa kutosha kuongea na familia yangu zaidi ukilinganisha na awamu iliyopita muda mwingi nilishinda kwa madalali na mafisadi kuweka mambo yangu sawa. Maofisa wa serikali wengi ilikuwa mpaka utoe rushwa ili mambo yako yakae sawa lakini JPM amejenga heshima
Kuna mambo mengi kwa watu smart ambayo JPM ameyafanya kwa Taifa hili.
Wezi, mafisadi na wapiga dili ndio walioumia. Sisi wa kuheshimu utu na haki JPM ni shujaa
Isijekuwa ni kati ya wale waliozikusanya nyingi kipindi kile na sasa wanazitumia katika wakati huu ndo wanaona unafuu huo.Ukute na wewe ulikuwa fisadi[emoji16][emoji16][emoji16] natania
Mgombea wetu wa CCM akiwa Zanzibar anawaeleza Wazanzibar kuwa wasiondoke uwanjani hapo maana akimaliza hotuba bado Kuna show kabambe kutoka kwa wasanii na watamuona nae akicheza.... Wazenji nao viburi wakaondoka wakati anazungumza. Aisee!Wanabodi,
Ni jambo lisilopingika watu ambao tunafurahi na kucheka kimaisha wakati wa JPM tupo wengi sana sana humu jamvini
Gharama za maisha zimeshuka sana. Leo hii kila kitu bei rahisi kuanzia chakula,Viwanja mpaka nyumba zinauzwa bei rahisi sana. Wakati wa Kikwete bei zilikuwa juu sana kutokana na mafisadi kushikilia uchumi hewa usio na mizizi
Gharama za kusomesha watoto zimeshuka sana. Leo shule binafsi unaweza kaa nao kuongea ada utalipa wakati gani na zimekuwa ni ada zinazoendana na vipato vya watu wengi sana. Mafisadi walijenga shule za academy uchwara kwa lengo la kuumiza wananchi wakati wa JK
Turudi kwenye kichwa cha uzi
Mimi binafsi nimebahatika kutembea nchi za nje zaidi ya 30 wakati huu wa JPM na hii imetokana na serikali kudhibiti mapato na kusimamia matumizi kwa miaka mitano. Kwa miaka kumi ya JK nilisafiri nchi 10 tu
Kipindi hiki cha JPM nimeweza kuwa na muda wa kutosha kuongea na familia yangu zaidi ukilinganisha na awamu iliyopita muda mwingi nilishinda kwa madalali na mafisadi kuweka mambo yangu sawa. Maofisa wa serikali wengi ilikuwa mpaka utoe rushwa ili mambo yako yakae sawa lakini JPM amejenga heshima
Kuna mambo mengi kwa watu smart ambayo JPM ameyafanya kwa Taifa hili.
Wezi, mafisadi na wapiga dili ndio walioumia. Sisi wa kuheshimu utu na haki JPM ni shujaa
Amepita tenaNakuunga mkono kwa asilimia 100. Mimi binafsi kwa figisu nilizofanyiwa na mafisadi. Kama si huu uongozi wa Magufuli ningeonewa Sana.
Uongozi wa Sasa hata Kama umedhulumiwa haki yako unarudishiwa. Yaaani Magufuli amegusa maisha yetu watu wengi Sana. Magufuli ni mwanaume na nusu. Forever will be teammagufuli100%
Amepita tenaUnajitekenya, ni bidhaa gani imeshuka bei, unajua bei ya sukari, unga, mchele na hata tu kiberiti kwa sasa!! Unajua unit ya umeme kwa sasa unaipata kwa tsh ngapi hata hata maji tu then do comparison na ilivyokuwa 2015 kurudi nyuma...
Wewe binafsi umeongeza nn katika pato lako kwa sasa. Usijidanganye kwa kuhadaika na kelele za akina Polepole, hali ya maisha kiujumla imeenda mrama kwa waTZ walio wengi
Mitano tenaUnajitekenya, ni bidhaa gani imeshuka bei, unajua bei ya sukari, unga, mchele na hata tu kiberiti kwa sasa!! Unajua unit ya umeme kwa sasa unaipata kwa tsh ngapi hata hata maji tu then do comparison na ilivyokuwa 2015 kurudi nyuma...