Tunaokula ugoro tukutane hapa

Hakuna mtu naemzarau kama kijana anaetumia ugoro nimeshawachana marafiki zangu kibao wengine hadi tumepotezeana kabisa ni heri bangi.
 
Vyote hivyo na bado watu wanaendelea kuvuta
 
Ndo maana comment na mada zako za kindezi ndezi..[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugoro ni uchafu bora hata Jani,alafu wengi nilioona wanatumia ni machalii wa R sijui upande huo una nini kwa mihadarati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…