Tunaokula ugoro tukutane hapa

Tunaokula ugoro tukutane hapa

Hakuna mtu naemzarau kama kijana anaetumia ugoro nimeshawachana marafiki zangu kibao wengine hadi tumepotezeana kabisa ni heri bangi.
 
ugoro ulinikataa kabisa...
~hasa pale kutematema mate kama nyoka
~kunuka ugoro full time
~mkojo mwekundu na unanuka kinyama
~kuumwa kifua
~hasira hasira yaani ilitawala
~kula kwa kujificha,tofauti hata na bhaghe
~macho kuwa mekundu
~mwili kukosa nguvu na kuwa mchovu mchovu zaidi
~nguo na shuka zakulalia na kushindia kunuka goro
~na stimu yake inakufanya nzutu
~kuumwa kichwa haswaa
Vyote hivyo na bado watu wanaendelea kuvuta
 
Wale wana JF tunaotupia dawa(kamchongo) tujuane haPa.huu hapa Kuna jamaa yangu kanikeletea kutoka kigamboni Ni mkali balaa.napenda kaudongo kale ambacho kana moisture kwa mbali sio Kama huu wa Masai wa buguruni mkavu Sana halafu hauna vibe ukiuweka unaanza kusambaa mdomoni... hii kitu ikikunasa Ni noma unaweza kujikuta unaumwa kumbe kisa umekosa hii kitu ya kwa bibi sometimes huwa nashikwa arosto kinyama so nikiamka tu asubuhi break ya kwanza kwa Masai.nilianza kula ugoro baada ya kugundua unakata hamu ya kuvuta sigara na pia unaleta njaa halafu mi kipindi Hiko nilikuwa Sina appetite kabisa ilinibist nianze kutumia.sasa hivi nimeshakuwa addicted nao.View attachment 1050101
Ndo maana comment na mada zako za kindezi ndezi..[emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ugoro ni uchafu bora hata Jani,alafu wengi nilioona wanatumia ni machalii wa R sijui upande huo una nini kwa mihadarati?
 
Back
Top Bottom