Tunaokunywa Safari ,Eagle, Barimi, Bapa, Pilsner, Vodika na spirit zote kali

Sisi tunaovuta petrol, kiwi na mafutaa ya taa ikikosekana kabissa unavuta harufu ya dampo tukutane mbinguni kwa mbele kabisa
 
Kama unamaanisha balimi, balimi ni bia ya kitanzania inayopatikana sanasana kanda ya ziwa.

Bia hii ni moja ya bidhaa za kampuni ya TBL
Umeona wapi nimeandika balimi? Hata mtoa mada hajaandika balimi hiyo umekuja nayo wewe
 
Umeona wapi nimeandika balimi? Hata mtoa mada hajaandika balimi hiyo umekuja nayo wewe
Ndio maana nikasema kama unamaanisha balimi mheshimiwa.

Kumbuka watanzania wengi hatuijui Barimi, hivyo kutokana na lugha yetu kuvamiwa sio rahisi tujue unamaanisha kinywaji kingine tofauti na balimi.
 
Hapana me nipeleweki kwenye uzi wa wanaokunywa Fanta passion chupa kubwa
[emoji1787][emoji1787] huu uzi wako na ww barimi umeshazinywa sana pamoja na fanta passion kubwa ni kinywaji chako
 
Eagle lager nimezinnywa sawa kipindi nipo advance moshi..800tsh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…