Bulaya001
JF-Expert Member
- Dec 21, 2018
- 5,987
- 6,682
kwan ni lazma niingie bar, huko ni fujo na harufu za condoms!Huwa mnajificha wapi bar amuuingii
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwan ni lazma niingie bar, huko ni fujo na harufu za condoms!Huwa mnajificha wapi bar amuuingii
Kama unamaanisha balimi, balimi ni bia ya kitanzania inayopatikana sanasana kanda ya ziwa.Barimi zinatoka zambia hizo..hatari sana mkuu
Umeona wapi nimeandika balimi? Hata mtoa mada hajaandika balimi hiyo umekuja nayo weweKama unamaanisha balimi, balimi ni bia ya kitanzania inayopatikana sanasana kanda ya ziwa.
Bia hii ni moja ya bidhaa za kampuni ya TBL
Ndio maana nikasema kama unamaanisha balimi mheshimiwa.Umeona wapi nimeandika balimi? Hata mtoa mada hajaandika balimi hiyo umekuja nayo wewe
Au ndio mnaendaga beach jumapili maanake hamna pakwendakwan ni lazma niingie bar, huko ni fujo na harufu za condoms!
Avatar inakuruhusu!!Au ndio mnaendaga beach jumapili maanake hamna pakwenda
Hapana me nipeleweki kwenye uzi wa wanaokunywa Fanta passion chupa kubwaHata wewe unakuhusu
[emoji1787][emoji1787] huu uzi wako na ww barimi umeshazinywa sana pamoja na fanta passion kubwa ni kinywaji chakoHapana me nipeleweki kwenye uzi wa wanaokunywa Fanta passion chupa kubwa