Wee yako smirnoff ice, itakufaa...sijawah ionja hii aisee
Heinek house iko api? Maana toka niijuege East 24 sijawahi jua ingine.Mida ya popo bado nataka niende heinekein hauzi muda huu nikafungulie mwaka pale
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mngekuwa wapi kwa mfano? Halafu hapa mtuache na nani?
itapendezaWee yako smirnoff ice, itakufaa...
Wivu sina ila roho inauma.Zimefika usijali...
Mikocheni...Ipo wapi hiyo
Kuna siku 364 za kushughulika na kitanda. Acha leo ipite.Vitandani huko,kugombea status.
Mi sitaiba. Hata nikila ntamrudishaMuulize miss natafuta wananiibia hao
Hii ipo hapa mikocheni tu mkabali na kairuki no local beers pale [emoji2] [emoji2]Heinek house iko api? Maana toka niijuege East 24 sijawahi jua ingine.
Haya,lakini hatuwapiganii wala nini.Kuna siku 364 za kushughulika na kitanda. Acha leo ipite.
Hahah itabidi ukashushe japo glass moja ulale mkuuWivu sina ila roho inauma.
Pale kushoto kama unatokea Victoria padogo flani hivi? Mara ya mwisho nimepita pale niliambiwa kumefungwa.Hii ipo hapa mikocheni tu mkabali na kairuki no local beers pale [emoji2] [emoji2]
Nipe mwaliko nije kutoa sumu ya konyagi mwilini kabisaaa usiku huu.View attachment 664933View attachment 664934mwenzenu napenda mitosis tu
Nimeshusha na chupa 4 za Heineken naona kama nimetibua halafu naona uvivu kutoka nje kufuata nyingine.Hahah itabidi ukashushe japo glass moja ulale mkuu
Yes hapo hapo... ndio huwa maeneo yangu ya kujidai nikiwa na stressPale kushoto kama unatokea Victoria padogo flani hivi? Mara ya mwisho nimepita pale niliambiwa kumefungwa.
Hizo zinatosha kabisa itabidi upumzike uache nafasi ya keshoNimeshusha na chupa 4 za Heineken naona kama nimetibua halafu naona uvivu kutoka nje kufuata nyingine.
Kumbe pako bado. Mitaa hiyi huwa naendaga pale Sign 2 pub ila wao Heineken hawauzi kama hapo Heineken house.Yes hapo hapo... ndio huwa maeneo yangu ya kujidai nikiwa na stress