Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Uwiiiii. Sema nimeanza kuamini huku kuna wakaka wazuri bwana. Asubuhi kuna mmoja alitupia picha yake. Uwiiii kama nilitaka niingie kwenye simu nikamuhug tu. Huyu nae mikono yake inaonekana akikushika lazima ufumbe macho kwa rahaHalaf usoni awe na ndevu za kiana uwiiii