Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Halaf usoni awe na ndevu za kiana uwiiii
Uwiiiii. Sema nimeanza kuamini huku kuna wakaka wazuri bwana. Asubuhi kuna mmoja alitupia picha yake. Uwiiii kama nilitaka niingie kwenye simu nikamuhug tu. Huyu nae mikono yake inaonekana akikushika lazima ufumbe macho kwa raha
 
Hahaah,,naomba unirushie hiyo pic haraka usije kua una makengeza
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Wasukuma sasa hivi mmepata pa kwenda wenyewe. Ukikosa kabisa mtoko unajitoa mwenyewe darajani
Ni darajani tu hakuna namna mpaka mtujueeee
 
1d7ec07cd05732b40cd95f6ad3dcce79.jpg
 
Back
Top Bottom