Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
Mambo ya kutunzwa ni siri ya ndani nikiyaweka hapa utasababisha nigandwee na wengine.Ntakupa sawa ila hela za kunitunza usisahau
Najua hamaanishi huyuHahahah afu stori za mbiti usizichukulie serious. Hahaha utaumiza roho bure kukbe anawauzia chai
hhaha bahili ajabu si ni mpare huyu? alafu kila siku kubip tu !aku mie simuwezi ! niliwah kaa naye chaka moja hvi walah aliagiza uhai ya 500 akaagiza glass2!afu stry nyingiiiiiii za flag !heheheh (joking )Kumbe bahili hivyo? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Saint Ivuga nimekata tamaa kama ndo unatoa elfu 12
hahahaha kwakweli !maana vilio vya wanaume wa jf nw eti MNATONGOZWA PM NA WANAWAKEMambo ya kutunzwa ni siri ya ndani nikiyaweka hapa utasababisha nigandwee na wengine.
Wewe weka mzigo mezani nipe mambo ya kizigua afu utashangaa mwenyewe manake naskia wazigua hatari.
Pole dada yangu.ahha ah kuna chizi aliingia site yangu
tanteeePole dada yangu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Mbiti acha kumuua shemeji ako huyo ujue. Mbona mi nlimuomba laki na nusu akatuma mbili. Au siku huyo alizidaka ndo sababu akanitumia bila longo longo.hhaha bahili ajabu si ni mpare huyu? alafu kila siku kubip tu !aku mie simuwezi ! niliwah kaa naye chaka moja hvi walah aliagiza uhai ya 500 akaagiza glass2!afu stry nyingiiiiiii za flag !heheheh (joking )
Mkulu ameshasema ss hivi kila kitu lipa kwa tsh kwahiyo naamini hamtashindwanaHeheheh mwambie anaweza gharama za hapo Malaika ,,room ya kawaida dollar 120,kama anaweza aje fasta
Hayo umeyapata sema pesa sasa baba usisahau.Mambo ya kutunzwa ni siri ya ndani nikiyaweka hapa utasababisha nigandwee na wengine.
Wewe weka mzigo mezani nipe mambo ya kizigua afu utashangaa mwenyewe manake naskia wazigua hatari.
Hahahahahaaa.. tunawatongoza vipi hata hatujui mifuko yao ikoje wala sura zao. Mi ningekua na mistari kuna wakaka wawili wa humu ningewaibukia PM nikawatongoze.hahahaha kwakweli !maana vilio vya wanaume wa jf nw eti MNATONGOZWA PM NA WANAWAKE
Hahahahahaaa.. tunawatongoza vipi hata hatujui mifuko yao ikoje wala sura zao. Mi ningekua na mistari kuna wakaka wawili wa humu ningewaibukia PM nikawatongoze.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Mbiti acha kumuua shemeji ako huyo ujue. Mbona mi nlimuomba laki na nusu akatuma mbili. Au siku huyo alizidaka ndo sababu akanitumia bila longo longo.
Acha tyu Niko napata mwongozo wa sikuhaha hii kitu hiii !dah !
Acha tyu Niko napata mwongozo wa siku
Ulipiga mwenyewe au ?ahhha niliwah gonga na shost angu chupa 3!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Natamani ningekuwa nakunywa
Manake leo nimeligwa ambush ya kufa mtu
Najipigia muziki kama chizi
**** mapenzi
Zote zilee. Sio ile moja tu.Hahahahhaaa.. hizo fantasy zimetokana na nini? Au pale kwenye ile picha uloandika cute cute best?