Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Kumbe bahili hivyo? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]. Saint Ivuga nimekata tamaa kama ndo unatoa elfu 12
hhaha bahili ajabu si ni mpare huyu? alafu kila siku kubip tu !aku mie simuwezi ! niliwah kaa naye chaka moja hvi walah aliagiza uhai ya 500 akaagiza glass2!afu stry nyingiiiiiii za flag !heheheh (joking )
 
Mambo ya kutunzwa ni siri ya ndani nikiyaweka hapa utasababisha nigandwee na wengine.
Wewe weka mzigo mezani nipe mambo ya kizigua afu utashangaa mwenyewe manake naskia wazigua hatari.
hahahaha kwakweli !maana vilio vya wanaume wa jf nw eti MNATONGOZWA PM NA WANAWAKE
 
hhaha bahili ajabu si ni mpare huyu? alafu kila siku kubip tu !aku mie simuwezi ! niliwah kaa naye chaka moja hvi walah aliagiza uhai ya 500 akaagiza glass2!afu stry nyingiiiiiii za flag !heheheh (joking )
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Mbiti acha kumuua shemeji ako huyo ujue. Mbona mi nlimuomba laki na nusu akatuma mbili. Au siku huyo alizidaka ndo sababu akanitumia bila longo longo.
 
Mambo ya kutunzwa ni siri ya ndani nikiyaweka hapa utasababisha nigandwee na wengine.
Wewe weka mzigo mezani nipe mambo ya kizigua afu utashangaa mwenyewe manake naskia wazigua hatari.
Hayo umeyapata sema pesa sasa baba usisahau.
 
Hahahahahaaa.. tunawatongoza vipi hata hatujui mifuko yao ikoje wala sura zao. Mi ningekua na mistari kuna wakaka wawili wa humu ningewaibukia PM nikawatongoze.

hahaaa sema wewe ! kwa kipi haswa haswa ! mie ningeweza ningemtongoza Ngariba1 aliwah kuja na comments moja mpak leo miguu yangu ilipata polio aisee !heheh ! ila mbalizi1 siwez mtongoza aisee kwasababu huyu ni shemela!lol jaman natania tu !watakuja watu hapa wataanza yao !lol
 
422bb54b1631db63bcd53e83ed08a7f1.jpg
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] . Mbiti acha kumuua shemeji ako huyo ujue. Mbona mi nlimuomba laki na nusu akatuma mbili. Au siku huyo alizidaka ndo sababu akanitumia bila longo longo.

ahaha bas una bahati ! mie kila siku ni sound tu !aishie hivi !
 
Back
Top Bottom