Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

hahaaa sema wewe ! kwa kipi haswa haswa ! mie ningeweza ningemtongoza Ngariba1 aliwah kuja na comments moja mpak leo miguu yangu ilipata polio aisee !heheh ! ila mbalizi1 siwez mtongoza aisee kwasababu huyu ni shemela!lol jaman natania tu !watakuja watu hapa wataanza yao !lol
. Hahaaaa! Mimi sio kunitongoza tu bali uniteke kabisa. Hata kelele sitopiga na wala watu wasinitafute. Niteke tu.
 
Mkuu kama wewe ni mwanaume utakuwa mwanaume wa ajabu, toka thread imeanza mpaka page zaidi ya 21 wewe unatukanana na wanawake

Usisababishe niwaze kama vile unagombea nao kitu kimoja.
Uyo namwonaga kama ana matatizo vile ni wa kum ignore mana kila kitu ata kisichomuhusu ata comment maneno ya ajabu hasa hili idiot analipenda...just try to view his profile utamwelewa ni mtu gan then utaona utakua unapoteza nguvu zako kumjibu
 
Aliniboa kweli jamaa thread watu tuko tunashangilia yeye anatukana tukana, tena unatukanana na wanawake kama wanagombea mme.
 
Back
Top Bottom