Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

. Hahaaaa! Mimi sio kunitongoza tu bali uniteke kabisa. Hata kelele sitopiga na wala watu wasinitafute. Niteke tu.
 
hhhaaah ! ngoja nisijibu hii !nakuteka nakuweka sehem nzuri tu msos fresh ! kukuhurumia nakuja siku zileee za ovulation ! dadek
Hahaaa! Hayo ndio yanaitwa mateso bila chuki. Ntakomaje...hapo kazi yangu kutafuna 'ujugu'. Cha ajabu siku ya kuachilia matesoni nagoma kuondoka.
 
Mkuu kama wewe ni mwanaume utakuwa mwanaume wa ajabu, toka thread imeanza mpaka page zaidi ya 21 wewe unatukanana na wanawake

Usisababishe niwaze kama vile unagombea nao kitu kimoja.
Uyo namwonaga kama ana matatizo vile ni wa kum ignore mana kila kitu ata kisichomuhusu ata comment maneno ya ajabu hasa hili idiot analipenda...just try to view his profile utamwelewa ni mtu gan then utaona utakua unapoteza nguvu zako kumjibu
 
Aliniboa kweli jamaa thread watu tuko tunashangilia yeye anatukana tukana, tena unatukanana na wanawake kama wanagombea mme.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…