Ukweli mchunguUna tatizo labda
Nichoree ramaniAnzaaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaaa!!, Mawazo ya kimbwa mbwa eti, hahahaa! Natoka kijiweni nataka nikapige pamba kali za kitozi, halafu niangalie chimbo lenye watoto wazuri niwe nakula gambe huku nawapimia, kama vipi mmoja namuibukia.Hahahahaja mjuni watu wengine mawazo ya kimbwa mbwa tu,,mme hapa wa nini sasa lo
Nawe upo wapi sasa
Si mnanitenga wenyewe...Halaf juzi hatujakupigia simu ee,,,
Siwezi zima wewe kichwa cha ndege hiki
Wanazimuaje,nisije kumwagiwa pipa la maji au kuzabuliwa.Utazimuliwa usitie hofu.
Wanazimuaje,nisije kumwagiwa pipa la maji au kuzabuliwa.
Najinyonga kwa wivuNilisahau nadhan,,tulizurura sana lo,View attachment 664625 mambo ya Malaika hotel
Genye zikipanda useme...Leo nadema yotee
Naona hapo watakuwa wameazimia kuniua.Utapewa togwa na si kumwagiwa pipa la maji au kuzabuliwa vibao.
Duh! hayo meno sio ya mchezo mchezo