Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Dinazarde, uwe unanitag kwanza...Yule wa koment ya kwanza ameambiwa walokole wakae pembeni yeye analeta mambo yake ya mume mwema huku!!
Hahahahaja mjuni watu wengine mawazo ya kimbwa mbwa tu,,mme hapa wa nini sasa lo

Nawe upo wapi sasa
 
Hahahahaaa!!, Mawazo ya kimbwa mbwa eti, hahahaa! Natoka kijiweni nataka nikapige pamba kali za kitozi, halafu niangalie chimbo lenye watoto wazuri niwe nakula gambe huku nawapimia, kama vipi mmoja namuibukia.
 
Sawa,kumbuka condom
 
Si mnanitenga wenyewe...
Nilisahau nadhan,,tulizurura sana lo,
IMG_20171230_184119.jpg
mambo ya Malaika hotel
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom