Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
IMG_20171231_174441.jpg
acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee
 
Dominant hand kwako ni wa kulia.

Unaonekana msafi (kucha fupi na rangi)

Unaonekana ni artificial pia, pengine kichwani una nywele za mtu mwingine au katani.

Vidole vyako soft mno, haufanyi kazi za nyumbani. Shughuli zako za kila siku ni kukaa ofisini na kompyuta au kazi ambazo hazikupi kashikashi. Au haufanyi kazi kabisa

Mwili wa wastani.

Rangi maji ya kunde (paja limekooza weupe)

Asante kwa kutuhamasisha kulewa.
 
Wewe rusha picha ya kinywaji mengine baadae
 
usisahau kula vizuri
ukiona umeanza kusinzia kabidhi vitu vya thamani kaunta kesho uvifate
pole sana na sikukuu
Heheeheh nipo na watu hapa na simu tu hata waibe sawa
 
Mkono wa haja. Jamani msisahau leo mtakaoamua kunywa msiguse usukani. Pombe na usukani havina undugu na ni hatari sana.

Hahahaha ,,mbona we hujarusha sasa
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom