Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Kesho sidhan kama nitagusa maana j4 naingia ofisiniHizo zinatosha kabisa itabidi upumzike uache nafasi ya kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesho sidhan kama nitagusa maana j4 naingia ofisiniHizo zinatosha kabisa itabidi upumzike uache nafasi ya kesho
Wewe dada embu nikome sisagani mimi.Rubbish kabisa eti na ww uje uolewe
Angalizo mnaotuma picha (jinsia Ke)msisahau kuambatanisha na mshikaki ulionona kama mwenzenu alivofanya maana hz ngumu bila nyama haziendi kabisa.View attachment 664599 acha nilewe tu siko poa kabisa leo,,nakunywa mpaka nizime hata siku mbili,,leo hakuna kulala nakunywa tu
Pia pole kwa kipenzi changu unaeumwa najua soon utapona utakuwa sawa ... Unajua venye navyokupenda
Ngoja niendeleee ,,kama yeyote unakunywa piga picha kinywaji unachokunywa rusha hapa
Walokole sijui wafia dini sio uzi wenu huu muende jukwaa la dini,,watoa ushauri peleken maombi kwa mods mtoe ushauri,,
Tuendeleeeeee
Kabisa...itapendeza
Kwaiyo mkuu unasuguliwa na vidole laini tuu jf Leo tamu haswa happy new year [emoji23][emoji23][emoji23]Hapana vidole vyako vina kutu naogopa tetanus.
Jihurumie na utathimini njia zako..paka ww
Vidole vigumu kama screw driver ya mafundi wa tanesco si itakuchubua...!!!Kwaiyo mkuu unasuguliwa na vidole laini tuu jf Leo tamu haswa happy new year [emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe dada embu nikome sisagani mimi.
Ngoja niachane nae mkuuYou are giving him/her too much attention.
HahahhaahhaAngalizo mnaotuma picha (jinsia Ke)msisahau kuambatanisha na mshikaki ulionona kama mwenzenu alivofanya maana hz ngumu bila nyama haziendi kabisa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora hata nikusage wewe
Labda warushe mawe hiyo ndo wanaweza rusha.Basi wenye mikono ya kutu kima conor roho zinawatoka,,wanatamani kufa ,,,maana hawana cha kurusha
Ndo Maajabu yenyewe mtu kama kitu hakikufai unapita [emoji117] sio kujamba jamba kwenye nyuzi za watuMkuu kama wewe ni mwanaume utakuwa mwanaume wa ajabu, toka thread imeanza mpaka page zaidi ya 21 wewe unatukanana na wanawake
Usisababishe niwaze kama vile unagombea nao kitu kimoja.
Me sinywi? wala sitafuti bwana lakini maisha ya watu wengine hayawezi niwasha mkuuUmeolewa??