kirikuu.com
JF-Expert Member
- Mar 22, 2014
- 461
- 526
Mie vyangu havisagi bali vinakoboa.Rusha vyako kama jf haijazima bwaahaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie vyangu havisagi bali vinakoboa.Rusha vyako kama jf haijazima bwaahaaa
Happy New Year bestieHaah mbona mwaka mpya mambo Yale yale...
Dinazarde hujazima.?
Happy New Year loveNielekeze nije.
Happy birthdayWaiter Zungusha Tena Bapa Na Konyagi HAPA
Ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah Kulalaleki Wew Mchawi Au....??Happy birthday
.ni birthday yako?Ah ah ah ah ah ah ah ah ah ah Kulalaleki Wew Mchawi Au....??
Aiseeee!!!!
Tuishie Hapa.ni birthday yako?
Nawatakieni heri ya mwaka mpya walevi wote hapa....
Dinazarde sema nini, haka ka thread kana majaribu ukikatilia maanani!!!
Mnatutia majaribu....Ha ha ha thread imefanijisha kunivusha mwaka kwa kushangilia
Mnatutia majaribu....
Eniwei endeleeni tu, majaribu ni mtaji
Nna shida na mtaji 😀😀😀
Manya apreciations my love D.
Happy New Year mama.Happy New Year love
Tupeane updates vipi au tukutane kwenye supuHahaha, eti una shida na mtaji.
Ngoja nitafute usingizi, kesho Dina aanzishe uzi tuliolewa jana tukutane hapa kupeana updates.