Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,342
- 88,625
Mscheewww.. wewe huyo? Uanze tu. Sema ulikua umebanwa na mtoto mzuri halafu vitu vikali viko mezani.Manya apreciations my love D.
Ila mimi mlokole nilikuwa kwenye mkesha naendesha ibada.
Nitakufanyia naombi utakuwa na amani. Nitafute tu ili uje home kwangu kwa maelezo zaidi.