Tunaolewa leo tukutane hapa HAPPY NEW YEAR

Hizo mambo kwangu ni mwiko kabisa.
Muulizeni Inna.
Afu mjue hio ni moja ya dhambi ambayo haisameheki.

Au dina ndio mambo zako nini? Haha manake sintokusogeleaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo Inna ndo ulifanya nae hukumgusa sio. Halafu kama ushakula mtu huku sikupi tena. Nataka mtu mpya kama mimi humu ndo nimpe.
 
Dah nilikuwa nakunywa drostdy.hof hapa imekata. Akili ya pombe inaniambia toka ukaongeze akili ya akili inaniambia lala. Akili ya akili imeshinda. Good night and happy new year guys.
Ma favorate[emoji39]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwahiyo Inna ndo ulifanya nae hukumgusa sio. Halafu kama ushakula mtu huku sikupi tena. Nataka mtu mpya kama mimi humu ndo nimpe.
Humu JF sijawahi kula mtu.
Inna ni my best kwenye fantasy za JF.

Afu hajawahi hata kukanyaga dsm.
Kwa JF wewe ndio utakuwa mtu wa kwanza kunipa.
 
Unanitega na mineno yako kama kweli vile.
Neno gani ambalo wewe unadhani ni la uongo hapo?
Afu nimeshakuambia tokea jana hadi sasa hivi nina ma fantasy kibao kichwani mwangu kuhusu wewe.
Basi tu. Uumbaji wa Mola haukufanya makosa
 
Humu JF sijawahi kula mtu.
Inna ni my best kwenye fantasy za JF.

Afu hajawahi hata kukanyaga dsm.
Kwa JF wewe ndio utakuwa mtu wa kwanza kunipa.
Basi ntakupa. Jipange tu. Andaa hela za kunishower nazo nikiwa natwerk kisiwani sawa mpenz?
 
khaaaaa.................mwaka umeisha hivi jamaa ametubu au ndo kiburi
 
Neno gani ambalo wewe unadhani ni la uongo hapo?
Afu nimeshakuambia tokea jana hadi sasa hivi nina ma fantasy kibao kichwani mwangu kuhusu wewe.
Basi tu. Uumbaji wa Mola haukufanya makosa
Hahahahhaaa.. hizo fantasy zimetokana na nini? Au pale kwenye ile picha uloandika cute cute best?
 
ah we uliniyeyeusha sana !nakuachia Inna anakuwezea !haiwezekan nikuombe laki unitumie 12000/
Ha ha ha .
Basi nilijua umeomba 10k nikaona niongeze 2k

Usijali tupige gemu kwanza afu hizo laki laki utazioga daily.

Afu kwa nini ulichomoa nilivyotaka kukuachia gari kipindi ile nilivyopata safari? Usirudie tena mbiti. Afu ulihishi ni ndoano?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23].
 
Ha ha ha .
Basi nilijua umeomba 10k nikaona niongeze 2k

Usijali tupige gemu kwanza afu hizo laki laki utazioga daily.

Afu kwa nini ulichomoa nilivyotaka kukuachia gari kipindi ile nilivyopata safari? Usirudie tena mbiti. Afu ulihishi ni ndoano?
Kumbe na yeye anakataa vitu vizuri halafu anakulaumu wewe.
 
Ha ha ha .
Basi nilijua umeomba 10k nikaona niongeze 2k

Usijali tupige gemu kwanza afu hizo laki laki utazioga daily.

Afu kwa nini ulichomoa nilivyotaka kukuachia gari kipindi ile nilivyopata safari? Usirudie tena mbiti. Afu ulihishi ni ndoano?

hahhhaa we bwana wewe!lol !hvi ni namba gan kwanza !
 
Back
Top Bottom