MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Cognition,Huyu atakuwa best ako maana ni Rafiki yake sana Malcolm Lumumba,maana kuna siku alikwambia alikuwa anakuzingua na ID yake nyingine,
Good to see you mkuu.
Nikikutag huwa hujibu kwaninii ???
Upiversity ni mdogo wangu moja hivi ana vurugu sanaaa,, but he is a very good kid (very good person) nje ya hapa Jamiiforums.
Wewe mfuatilie vizuri kwenye ile ID yake nyingine....I respect him a lot.!!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]