Tunaomba Bodi Kuu ya Ligi na TFF kumfungia Haji Manara kwa kukosa weledi na kudharau kiti cha Makamu wa Rais wa Nchi

Aigle

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2020
Posts
1,540
Reaction score
7,973
Bodi ya Ligi, akina Almas Kasonso, Mzee wangu Karia na watu wako, chonde chonde kwa mustakabali wa mpira wa miguu wa nchi hii, tunaomba kwa mara nyingine mumfungie Haji Manara kwa kukosa weledi na kukosa heshima hata mbele ya kiti cha Mkuu Wa Nchi namba mbili Mheshimiwa Daktari Phillp Isidori Mpango

Ni kitendo cha aibu tukuka kilichoonyeshwa jana, na waajiri wake timu ya Yanga ikemewe vikali sana kwa kuchangia jambo hilo kutokea. GSM mna watu makini sana wangeliweza kufanya hio shuhuli bila kumkosea heshima Mkuu wa Nchi namba mbili, ina mana hadi huyo muhuni anapanda stejini, alikua au mlimpa baraka zenu zote..How? Wadau wa mpira tumejiskia aibu sana, tunaambiwa hata mtoto wa Marehem Manji alikuepo, baba yake hata kiprotokali hakupewa heshima inayostahili, na yote hio Msemaji wa shuhuli ndio kazi yake alipaswa kujua, ila sababu ni mharibu mambo akafanya aliyofanya.
 
Kwa hiyo,yeye kutofanya unayoyataka wewe,kumekuumiza kichwa! Mpango kalalamika? Kiti chake kimelalamika?
 
Acha chuki na wivu wa kike kwa HAJI MANARA kama umekasirika iondoe Yanga kwenye daftari la usajili.
 
Chuki
 
MWANAUME KUWA NA WIVU KWA MWANAUME MWENZAKO NI DHAHIRI "UMELEFT"
 
Mbona Makamu mwenyewe ame enjoy tu!!!Kwani unaambiwa pale ni Bungeni?
 
Weee Aigle mnyanganye simu mtoto wako hajui kuandika
Madudu gani haya mara Mpango, Manara, Gsm, Karia, Manji
#Afu mwandiko wa kike huu, ukute kanavutishwa Shisha muda huu
Oooh maskini watoto wa kike wanaangamia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…