Aigle
JF-Expert Member
- Jul 4, 2020
- 1,540
- 7,973
Bodi ya Ligi, akina Almas Kasonso, Mzee wangu Karia na watu wako, chonde chonde kwa mustakabali wa mpira wa miguu wa nchi hii, tunaomba kwa mara nyingine mumfungie Haji Manara kwa kukosa weledi na kukosa heshima hata mbele ya kiti cha Mkuu Wa Nchi namba mbili Mheshimiwa Daktari Phillp Isidori Mpango
Ni kitendo cha aibu tukuka kilichoonyeshwa jana, na waajiri wake timu ya Yanga ikemewe vikali sana kwa kuchangia jambo hilo kutokea. GSM mna watu makini sana wangeliweza kufanya hio shuhuli bila kumkosea heshima Mkuu wa Nchi namba mbili, ina mana hadi huyo muhuni anapanda stejini, alikua au mlimpa baraka zenu zote..How? Wadau wa mpira tumejiskia aibu sana, tunaambiwa hata mtoto wa Marehem Manji alikuepo, baba yake hata kiprotokali hakupewa heshima inayostahili, na yote hio Msemaji wa shuhuli ndio kazi yake alipaswa kujua, ila sababu ni mharibu mambo akafanya aliyofanya.