Tunaomba Chalamila atusaidie na Dodoma , Bus zirudi 8 x 8

Tunaomba Chalamila atusaidie na Dodoma , Bus zirudi 8 x 8

ubarinolutu

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
2,850
Reaction score
6,030
Nimpongeze Kwa KAZI nzuri ya kurudisha mabasi Nane nane, Chalamila anafanya Jema litakalochochea uchumi, kitendo cha kuua stendi zote bubu Mtaani na shekilango ni cha kishujaa, mana zinachafua mji.

Sasa Ajue KWAMBA mkuu wa Mkoa mwenzake Huku Dodoma I.e Dada Rosemary yeye Amelala Tu, Huku Makao Makuu ya nchi ikiwa na stendi bubu kibao, mpaka sasa hajatoa amri ya mabus kurudi stendi ya nane nane nzuguni, hivyo namuomba Chalamila aje atusaidie na Dodoma. Magari ambayo nafahamu Yana stendi zao nje ya stendi kuu huu Dodoma ni

1. Machame
2. ABC
3.Shabiby
4.Kimbinyiko
5. Happy nation
6. BMW
7.B-0ne
8.Ngasere
Na kuendelea, naomba Mkuu wa Mkoa Dar tusaidie hawa watu warudi nane nane, utaenda kutuma parcel huko huko nane, Kwanza ifanyike nchi nzima
 
Unataka huyo Chalamila akusaidie kama nani sasa ndani ya Mkoa wa Dodoma, iwapo kwa upande wa Dar ametumia kofia yake ya Mkuu wa Mkoa?
 
Back
Top Bottom