Tunaomba debate na Ontario wenzake wawili kuondoa utata juu ya Forex

Hata ashuke malaika toka mbinguni kuambia kuwa sio utapeli hutaamini kwakuwa mindset yako ushaiseti hivo...

Ningekuwa na uwezo hii issue ningesema isiletwe tena hapa.

Kwa siku threads zinafunguliwa 10 mada ni hiyo hiyo serious! Hakuna jipya nchini? Mada zimeisha za kujadiliwa?

Mods mnajizalilisha wenyewe kwa kulea huu uzwazwa!
Kama vipi fungueni jukwaa la forex pekee watu tujue moja. Sio ukipita biashara unakuta threads ukipita chitchat unaikuta ukipita sijui wapi ndio usiseme...
Wtf?.......

Naomba niweke wazi ontario ni tapeli na forex ni scam, okoeni 200k zenu kwa kuuza maandazi............
Are u happy now?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kumbe padri mcharo ndo alikung'utwa na mshua wake while demu wake yuko nje anasuka mabutu????
Tobaa! Hiyo avatar ni wewe?!
Ma Sha Allah! [emoji12]
 
Na VP kuhusu D9 wadau, maana kuna jamaa alinishawishi nikamwambia kwanza nitafute hela. Lkn mpaka sasa hajanitafuta tena na sim hapokei
 
Upuuz mtupu faida /hasara ya kwako mtu aache kudownload pesa aje kulumbana kama ukiona hakina faida kwako kaa mbali Muda wa malumbano hatunaaaaaaaa
 
Mimi niliwekeza D9 kwa huyu Ontario ...nikatapeliwa ...Mimi naona ni utapeli tu ...
Mmhhhhh
D9 na Ontario wapi na wapi?
Kuwa mkweli uitendee haki nafsi yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…