Watu wanafundisha forex Pretoria wewe unacheza segere.Habari wadau..
Naona thread nyingi za forex za kuisifia na za kuipinga..
Dogo amekuja kutukomboa na elimu ya forex.. japo wengine wanasema ina ujanja ujanja ndani yake..
Napendekeza kuwe na debate ya TMT na Wajenga hoja makini.. hapo tupate majibu mazuri.. tujiunge na wengine..
Napendekeza upande TMT awepo ONTARIO na wenzake wawili anaowaamini wanajua kujibu facts... sio kelele na mapicha picha yasiyoeleweka bali facts..
Na upande wa wajenga hoja..
Awepo Nyani Ngabu lara 1 na mwingine yeyote makini ambae mashabiki watampendekeza...
wengine wote wakae kimyaaa tubaki wasomaji tu..
Hii debate nina imani itasaidia wengi na itarudisha jf yenye hadhi ya hoja makini.. kama ile debate ya matola vs zomba enzi za JK.
kuna range ontario kaiweka uzi mwingine natamani sana niione kadi ya gari.. au hata namba zake alizosajili tuangalie tra ... isije ikawa mambo ya forever livingi anatuvutia wateja
Habari wadau..

**Usiwe mshabiki ushauri wangu kwako ni huu, darasa la forex linaanza JanuaryHabari wadau..
Naona thread nyingi za forex za kuisifia na za kuipinga..
Dogo amekuja kutukomboa na elimu ya forex.. japo wengine wanasema ina ujanja ujanja ndani yake..
Napendekeza kuwe na debate ya TMT na Wajenga hoja makini.. hapo tupate majibu mazuri.. tujiunge na wengine..
Napendekeza upande TMT awepo ONTARIO na wenzake wawili anaowaamini wanajua kujibu facts... sio kelele na mapicha picha yasiyoeleweka bali facts..
Na upande wa wajenga hoja..
Awepo Nyani Ngabu lara 1 na mwingine yeyote makini ambae mashabiki watampendekeza...
wengine wote wakae kimyaaa tubaki wasomaji tu..
Hii debate nina imani itasaidia wengi na itarudisha jf yenye hadhi ya hoja makini.. kama ile debate ya matola vs zomba enzi za JK.
kuna range ontario kaiweka uzi mwingine natamani sana niione kadi ya gari.. au hata namba zake alizosajili tuangalie tra ... isije ikawa mambo ya forever livingi anatuvutia wateja
Pp[emoji23] [emoji23] [emoji23]Tatzo lako ilo la kuwashwa makalioni halijaisha?

I don’t debate riffraffs.
So I’ll pass.
Read books
Ontanario humuoni hapaa . akili mkichwa
Sasa unataka malumbano ndio yatakusaidia kupata nini? Watanzania kuna wenye matatizo makubwa sana ya ufahamu.
Mtu kashatoa vitabu mkasome huko mjue biashara inavyofanyika eti mtu anataka watu walumbane ndio atajifunza namna biashara inavyofanyika.
Ontario aache kutengeneza Blu bluu aje kubishana na wapumbavu wachache waliokosa akili
Upuuz mtupu faida /hasara ya kwako mtu aache kudownload pesa aje kulumbana kama ukiona hakina faida kwako kaa mbali Muda wa malumbano hatunaaaaaaaa
Kwa wale Trader ambao wangependa kumtumia broker Templerfx.
Broker huyu anakuwezesha kuweka PESA na kutoa kwa njia ya M-PESA.
Kujisajili ni rahisi sana kwa kutumia kitambulisho chako cha kupigia kura na namba yako ya simu utakayotumia kuweka na kutoa pesa kwa broker.
JISAJILI SASA
Usisite kuomba msaada
TemplerFX | Promo
**Usiwe mshabiki ushauri wangu kwako ni huu, darasa la forex linaanza January
Jiungeni wenye akili mkaulize maswali mkiwa darasani View attachment 663311
Wenye kujielewa wanafanya maamuzi makiniduh unaita watu kwenye uzi wa kupinga forex
Ontario kaachana na TMT