Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 2,331
- 7,733
Hiki ni kipindi kizuri sana, tatizo kubwa ni muda wa kuanza kipindi ambapo wengine bado huwa tupo ibadani maana huwa wanaanza saa mbili kamili asubuhi.
Kwasisi watu wa zamani, kipindi hiki huwa na Ma-legend wa soka wa zamani huojiwa mubashara studioni na mtaalam Bin Zubery.
Tunaomba suala la muda lizingatiwe walau waanze hata saa 4:00 asubuhi itapendeza.
Naomba kuwasilisha...