Tunaomba kujua hizi ni dawa za nini

Mtoa uzi naona katoweka ghafla, isije ikawa kaenda kujizuru
Hahaha haha nipo ndugu sijatoeka ghafla na wala siwezi kujizuru maana hizo dawa kuna mtu tumemkuta nazo ila akawa ana bisha kuwa sio za ukimwi ndo maana nikaja kuuliza hapa.
 
Kuweni makini ngono haina faida zaidi ya kupeana ujauzito endelea kula Bata Nyama ya mbuzi na bapa achaneni na starehe za hovyo Kama ngono
Sio kuacha ngono, labda uwaambie watumie kinga bhana.., bila ngono itakuwje sasa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…