Tunaomba kujua hizi ni dawa za nini

Tunaomba kujua hizi ni dawa za nini

[emoji16][emoji16][emoji16] Wanabidi kujua ngono ni anasa na sio Bata.
Maisha haya yamebaki kama bahati nasibu tu.

Ukinywa pombe jindae kuwa Kisukari, kuunguza ini.

Ukibaiolojiana pia magonjwa ya zinaa, vibomu, mikosi na UKIMWI.

Ukivuta sigara ni kupata kansa, kudhuru mapafu na bangi ndiyo mmmh..!

Nibakie kucheza madrafti, kula menyu, kutalii, kuangalia boli, kuinjoyi na Watu bila kinyongo

Tumwombe sana Mungu kutunusuru na haya majanga.
 
TDF/FTC (Truvada) =TENOFOVIR DISOPROXIL FUMARATE/EMTRICITABINE:-
Are used as part of First Line ARV Combination Regimes
 
Kuweni makini ngono haina faida zaidi ya kupeana ujauzito endelea kula Bata Nyama ya mbuzi na bapa achaneni na starehe za hovyo Kama ngono
Au ambia vijana waoe.

Wanakataa ndoa wanapunguza life expectancy,sasa ndiyo nini!!!
 
Back
Top Bottom