Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KIMOTCO hiyo Arusha-Iringa, ikamatweKwenye hiyo video hapo, huyo dereva wa bus alikua na haraka gani ya ku overtake sehemu kama hiyo na anaona kuna mtu anakuja mbele yake. Na bado unampiga taa kali usoni.
Hawa madereva hawana familia nini?
Mwanga wa ishara huwa ni Flash mara moja tu. Elewa neno flash ⚡. Na sio muda mrefu tena unaempiga taa yuko karibu, upande wake na eneo la hatari.Aliwasha ule mwanga kama ishara ya hatari, wewe uliye mbele umkwepe kwa sababu kwa spidi aliopo ni vigumu kupunguza bila kuleta madhara; ila hii inatokana na uchovu wa dereva, inawezekana kwake kila siku yuko barabarani bila kuwa na msaidizi.
Suluhisho, ni wenye mabasi kuajiri madereva wawili wawili; ili huyu anaye endesha leo, kesho asiendeshe.
Mwanga wa ishara huwa ni Flash mara moja tu. Elewa neno flash ⚡. Na sio muda mrefu tena unaempiga taa yuko karibu, upande wake na eneo la hatari.
Hapo bado haimaanishi alicho fanya ni sahihi bali imedhihirisha namna madereva wa basi walivyo wapumbavu barabarani kwa asilimia kubwa.Aliwasha full maana yake wewe uachie njia, ukikutana na kitu cha namna hiyo kaa mbali nacho.
Kuna elimu ya darasani na kuna elimu ya kujiongeza; ndio maana madereva wanafundishwa elimu ya kujihami wanapokuwa barabarani.
Si wote watumiao barabara wanajua sheria au kufuata sheria za usalama barabarani; katika kujihami lazima usome mazingira ya watumia barabara.
Huyo aliyewashiwa taa, angekaza fuvu, si ajabu angefia pale.
Kwahiyo na ww unaunga mkono huo upuuzi wa dereva wa basi yaani mshenzi anahama toka upande wake then anakufata upande wako na bado anataka umpishe hawa viumbe wanajiona nani kwa mfano kuwa wanakera.!Aliwasha full maana yake wewe uachie njia, ukikutana na kitu cha namna hiyo kaa mbali nacho.
Kuna elimu ya darasani na kuna elimu ya kujiongeza; ndio maana madereva wanafundishwa elimu ya kujihami wanapokuwa barabarani.
Si wote watumiao barabara wanajua sheria au kufuata sheria za usalama barabarani; katika kujihami lazima usome mazingira ya watumia barabara.
Huyo aliyewashiwa taa, angekaza fuvu, si ajabu angefia pale.
Kwahiyo na ww unaunga mkono huo upuuzi wa dereva wa basi yaani mshenzi anahama toka upande wake then anakufata upande wako na bado anataka umpishe hawa viumbe wanajiona nani kwa mfano kuwa wanakera.!
Usingetoa huu utetezi nilitaka nitoe tusi ambalo ingekuwa tiketi ya kupigwa life ban.Wanaotumia barabara sio wote vichwa vyao viko vizuri, ndio maana punda anavyokatisha barabarani tunatafuta kila njia tumkwepe.
Kwa mazingira aliyofanya si sahihi; kwa mtazamo tu, anaonekana kichwani amevurugiga anatamani ata apae.
Suluhisho, hizi ajira wapewe wazee; vijana bado wana mihemko mingi.
Mbona kawaida kwenye barabara zetuKwenye hiyo video hapo, huyo dereva wa bus alikua na haraka gani ya ku overtake sehemu kama hiyo na anaona kuna mtu anakuja mbele yake. Na bado unampiga taa kali usoni.
Hawa madereva hawana familia nini?

Huyu mwenye camera ndio aliejifanya anatembea speed km anaenda mbinguni shenzi zakeDuuuh hiyo mbaya mnoo