Bueno
JF-Expert Member
- Sep 9, 2022
- 4,114
- 6,449
Bus lile na Lori wapo mwendo wa kawaida ila huyu mwenye camera ndio anakimbiza gari ukiwa unaendesha unatakiwa uwe makini sana madereva vichaa hawakosekani na hao ndio mafundi wa kutengeneza ajaliizo ndo speed nazozipenda, sio unapanda basi linatembea kama linaenda harusini badala ya kukimbia
#AJALIHAINAKINGA
