Tunaomba mechi ya Young Africans na Mamelodi Sundowns ipewe hamasa ya Gamondi Day

TUNYOEEE VIPARAAA WOTEEE SIO
HAYA BANAAA TUNALIJADILIIIIIIIIIIII
 
Hapana iitwe Manara day, utoo mjidai kimanara manara
Manara ni kolo alikuja gsm baada ya ugomvi wake na Barbara na mo na ela vilevile ilimshawishi lakini sio miongoni mwa wananchi na wala sio msemaji wake.
 
Ndo ujinga mnaouweza.
Watu wanaiba mihela huko kama hawana akili nzuri.
Mapoyoyo mnaomba iwe Sijui gamondi day.
 
Kama Simba na Yanga wakifanikiwa kupata ushindi wa 2 - 0 katika mechi zao za kwanza nawaona wakienda nusu fainali.
Mechi za pili mara zote huwa na presha ukiweza kupata suluhu mpaka 1st half utakua ushaharib
 
Iwe: Yanga Half Final Key Day, Yaani mechi ya ufunguo wa yanga kufika nusu fainali
 
Swala la hamasa kwa mamelod ni kujichetua tu na kujichosha wakuu
 
Ndo ujinga mnaouweza.
Watu wanaiba mihela huko kama hawana akili nzuri.
Mapoyoyo mnaomba iwe Sijui gamondi day.
Wewe kwa upande wako umechukua hatua gani kuhakikisha hao walio iba hiyo mihela wanafika kwenye vyombo vya sheria?
Watanzani tulio wengi tumechoshwa na siasa za maigizo ziliopo nchini kwetu, ndio maana tumehamishia mapenzi yetu kwenye soccer, hayo mengine tumewaachieni wenyewe wanasiasa mumalizane nayo.

Nb. Hili ni jukwaa la soccer, huo upuuzi wako peleka huko jukwaa usika.
Ukiona wenzio wanaiba na wewe iba, usitukate ganje.
 
Mimi naona tuiite SUGUNYO DAY mandonga mth kazi
 
Ni heri tuiite Aly Kamwe Day.
Kwa kila goli tutakalofungwa kuwe na mashabiki wanaozimia, hadi dakika 90 tuwe tumezimia uwanja mzima
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…