udhaifu mwingine wa ccm na serikali yake, toka mwanzo mtu mwenye akili asingekubali kupinga matokeo ya lema tena kwa kutumia watu dhaifu na madai dhaifu, ingawa yote hiyo ni kwa sababu chama cha epa, kutorosha wanyama na kuficha mabilioni uswisi kimefilisika hakina mawazo mapya, mwelekeo wao sasa ni kuhakikisha chadema panakuwa na migogoro, kitu ambacho naona they are making progress, ombi kwa viongozi wa juu wa chadema please do something kumaliza hizi mbinu dhaifu za watu dhaifu wenye mawazo dhaifu