Tunaomba mtuwekee hukumu ya Lema

Tunaomba mtuwekee hukumu ya Lema

CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2011
Posts
12,357
Reaction score
6,424
Tunaomba mwenye kaupenyo ka kupata hukumu ya Kamanda LEMA ya leo aturushie tuone sheria ilivyodadavuliwa. Nawasilisha
 
hata mimi nina shauku kubwa ya kuisoma hiyo hukumu,plz tunaomba muiweke hapa jamvini
 
Tundu liau atatuwekea kuonyesha majaji vihiyo waliotufanya tusiwe na mbunge mpaka leo Arusha
 
Ina umuhimu mkubwa,maana hapo kuna mambo mengi sana ya kujifunza!

Kwa mahakimu na majaji wa upe (aliowanyooshea kidoleTUNDU LISU) hii ni hukumu muhimu sana kuipitia. Ni shule tosha kwa majaji kuielewa na wananchi wote kwa ujumla. Naamini sheria imetafsiriwa vizuri.
 
udhaifu mwingine wa ccm na serikali yake, toka mwanzo mtu mwenye akili asingekubali kupinga matokeo ya lema tena kwa kutumia watu dhaifu na madai dhaifu, ingawa yote hiyo ni kwa sababu chama cha epa, kutorosha wanyama na kuficha mabilioni uswisi kimefilisika hakina mawazo mapya, mwelekeo wao sasa ni kuhakikisha chadema panakuwa na migogoro, kitu ambacho naona they are making progress, ombi kwa viongozi wa juu wa chadema please do something kumaliza hizi mbinu dhaifu za watu dhaifu wenye mawazo dhaifu
 
Sikia wewe fake na dhaifu Jaji Gabriel Rwakibarila Kondoo kama mchungaji.


" Safari ya ukombozi ilianza zamani wengine walikufa wengine walipoteza viungo vyao lakini safari inaendelea, msiogope ninyi mlio wengi, maana mkiogopa mimi nitaogopa zaidi lakini nawatia moyo msiogope kuweni jasiri haki haiwezi kudhalilishwa," by Lema!


 
Back
Top Bottom