Habari zenu wanajamvi wenzangu mlioshiriki na msio shiriki siku hii ya Chai day.
Binafsi sikubahatika kuwepo ktk hafla hii basi cc wote ambao hatukushiriki tunaomba wale walishiriki watudokeze mambo yalikuwaje ktk cku hii,
Tutashukuru.
subiri inakuja,main agenda ilikuwa:
1 commitment
2 transparency
3.how to formalize kilimo
4.kila prospective member awe na shamba at least 5acres near dar
subiri utapata adidu za rejea